SIMBA 1-5 YANGA AFRICA MANENO YA MSEMAJI WA SIMBA A BAADA YA KUPOTEZA MECHI YA JANA


 Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally amekiri kwamba kwenye mchezo wa Watani wa jadi leo Simba imezidiwa na Mpinzani wake Yanga SC na kuadhibiwa kwa bao tano kwa moja.

Ahmed amesema “Leo tumezidiwa na Mpinzani wetu na hatimaye tumeadhibiwa, hakuna unachoweza kusema zaidi ya kukiri udhaifu kwa upande wetu”

“Hili limepita japo linaumiza na haliwezi kufutika katika mioyo yetu lakini muhimu ni kuganga yajayo, tusipoteze focus, mbele yetu tuna mechi nyingi za kupigania malengo yetu”

“Tumepoteza mechi moja bado tuna mechi nyingine mbele za kupigania malengo yetu, poleni”

 

Comments

Popular posts from this blog

NO ONE'S CRAZY

Believe in yourSelf(Jiamini unaweza )